24 Acres farm for sale in Njombe
Tsh400,000
Features
- Clean water
- Pine trees
- Tea trees
Details
Shamba la Ekari 24 linauzwa Kijiji cha Njoomlole-Njombe
Distance Kutoka Njombe mjini mpaka Shambani ni 35KM
Location Shamba limegusa Njombe-Ludewa road
-Shamba lina Chai, Viazi na Miti ya Pines
-Shamba umepita mto Magereza wenye maji msimu wote.
-Shamba linafaa kilimo cha Parachichi, Mahindi, Miti, Ngano, Viazi na n.k
-Shamba limepitiwa na Barabara inayojengwa kwa kiwango cha lami
-Plot size Ekari 24
-Document: Hati ya Kimila
Bei shilingi milioni 400 maongezi yapo
ID:ZN
- ID: 3931
- Published: August 17, 2024
- Last Update: August 17, 2024
- Views: 75