330 Acres farm for sale at Mkuranga
- Property type: Farm
- Offer type: For Sale
- City: Coast Region
- Street: Mkuranga
Details
Shamba la Ekari 330 linauzwa Mkuranga, Mkanoge
Distance Kutoka Mbagala rangi tatu mpaka njia ya kuingia shambani (Ngonja -Kimanzichana) ni 90 km Kilwa road na Kutoka main road (lami) mpaka unaingia ndani 17km
Location Maeneo ya Industrial Area
Neighborhood Shamba la Mzungu (Ekari 1,200) amepanda makadamia na mashamba mengine ya watu binafsi
Matumizi Agro Farm
Vitu vilivyomo kwenye Shamba
Miti yote ni High Breed
-Ndani ya Shamba kuna Teak Wood 12,500 x 800, 000 = 10 billion. (Inavunwa baada ya miaka 10 kutoka sasa)
-Mti wa Mkaratusi 15,000 x 150,000 = 2.25 Billion (Inavunwa 2030)
-Mti Kunuka (mbao nyekundu) 2,000 x 500,000 = 1 Billion (Inavunwa miaka 8 kutoka sasa)
-Miti ya Mchikichi (Mawese) 250
-Miti ya Mikorosho 6,000
-Minazi 1,200
-Miembe ya Kisasa 2,500
-Mindimu 1,200
-Godown Sqm 600
Nyumba 3 za wafanyakazi
Nyumba 1 ina vyumba 4 na sitting room, jiko na public toilet.
Nyumba 2 Ina vyumba viwili 2 vya kulala, sitting room, kitchen na public toilet
Nyumba 3 Stoo ya kuhifadhia mashine na Generator
-Mabwawa ya Samaki 7
-Banda la Mbuzi
-Banda la Ng’ombe (40)
-Visima viwili vyenye urefu wa meter 130
-Minara 8 ya kuweka tank za umwagiliaji.
-Plot yenye Ekari 200 ina Hati miliki
-Plot yenye Ekari 130 imeshapandwa mawe (Surveyed)
Umeme umeshafika Nyamato upo umbali wa 7km mpaka kuingia shambani.
Bei shilingi Bilioni 2.5 mazungumzo yapo
NOTE Jirani Kuna nafasi ya kuongeza Ekari 2,000
- ID: 4757
- Published: June 18, 2025
- Last Update: June 18, 2025
- Views: 26