LODGE FOR SALE AT KISERIANI ARUSHA, TANZANIA – EAST AFRICA.
Tsh450,000,000
Details
- VYUMBA KUMI NA MOJA (11).
- SELF TISA (9).
- VYENYE TILES NANE (8).
- MASTER BILA TILES KIMOJA (1).
- BILA VYOO VIWILI (2) VINATUMIA VYOO VYA NJE, VYENYE SINK YA KUCHUCHUMAA BILA FLASH SINK.
- VYOTE NI FUTI KUMI NA MBILI KWA KUMI NA MBILI (12*12).
- VYOO VYOTE NI FUTI TATU NA NUSU KWA SITA (3.5 *6).
- MAPOKEZI INA UKUBWA WA KUMI NA NANE (18) UPANA NA UREFU FUTI THELATHINI (30).
- BARAZA ZIPO KATIKATI YA VYUMBA SITA (6) NA ZINA UKUBWA WA FUTI NANE KWA KUMI NA MBILI (8*12).
- UMEME NA MAJI VIPO NJE YA FENSI.
- UMBALI KUTOKA MAIN ROAD NI KM 1.4.
- UMBALI KUTOKA MJINI NI KM 12.5.
- UKUBWA WA ENEO NI 40*40=1600SQM.
- UWANJA ULIOBAKI NI 26*29=754SQM.
- ENEO LOTE LIMEZUNGUSHWA UZIO WA TOFALI NZITO NA INA GETI LA CHUMA.
- HAINA HATI MILIKI.
- ID: 32299
- Published: October 10, 2022
- Last Update: October 10, 2022
- Views: 2944