- Property type: Building
- Offer type: Rented
- City: Arusha
- District: Arusha
- Project Area: 25 acres
- Primary School: 1
- Administration block: 1
- Workers offices: 1
- Headteacher Office: 1
- Secretary Office: 1
- Academic Master Office: 1
- Class rooms (building 1): 4
- Class rooms (building 2): 4
- Public Toilets (For both ladies & gents ): 1
- Library: 1
- Dispansary: 1
- Primary Boys Domitory : 160 students
- Primary Girls Domotory: 160 students
- Secondary School: 1
- Administration Block and Classroom: 1
- Secondary Boys Dormitory: 200 students
- Secondary Girls Dormitory: 200 students
- Chemistry Lab, Biology Lab, Physics Lab: 3
- Examination Room: 1
- Staff quarters: 7
- Dinning room capacity: 800 stutents
- Standby Generator: 1
- Football Ground - International Std: 110 x 90 sqm
- Basket Ball: 1
- Netball: 1
- Volley Ball: 11
- Total area size: 25 Acres
- Distance from Arusha town: 26 km
- Distance from KIA airport: 35 km
Features
- Administration block
- Primary school
Details
Maelezo mafupi ya Eneo – Linafaa kwa Shule au Chuo
1.Shule Msingi (Primary)
-Jengo la Utawala(Adminstration Block)
-Office za wafanyakazi
-Ofisi ya mwalimu mkuu ((Headteacher Office)
-Ofisi ya Katibu Muhtasi(Secretary Office)
-OFisi ya Mwalimu wa Taaluma (Academic Master)
-Vyoo ya Kike na Kiume
-Madarasa
i)jengo moja lina madarasa 4
ii)jengo la pili lina madarasa 4
-Maktaba (Library)
-Zahanati (Dispensary)
-Bweni la wanafunzi kiume linalaza wanafunzi 160 (Boys Domitory)
-Bweni la wanafunzi wa kike linalaza wanafunzi 160 (Girls Domitory)
2 Shule ya Sekondari
-Jengo la Utawala na Madarasa (Administration Block and Classroom)
-Bweni la wanafunzi wa kiume linalaza wanafunzi 200 (Boys Dormitory)
-Bweni la wanafunzi wa kike linalaza wanafunzi 200 (Girls Dormitory)
-Maabara (Laboratories)
i)Kemia (Chemistry Lab)
ii)Bailogia (Biology Lab)
iii)Physics Lab
iv)Chumba cha Mitihani (Examination Room)
3 Nyumba za Wafanyakazi
– Ziko nyumba 7 (Seven Staffquarters)
4 Sehemu ya Kulia chakula na Kupikia,uwezo wa kuweka wanafunzi 800
5 Madawati na Viti
6 Standby Generator
7 Viwanja vya Michezo
i)Uwanja wa Mpira wenye viwango vya Kimataifa
(Football Ground – International Std)wenye ukubwa (110 x 90 )
ii)Basket Ball
iii)Netball
iv)Volley Ball
8 Ukubwa wa Eneo lote ni sawa na Ekari 25
9 Umbali
i)Umbali kutoka Arusha Mjini hadi Shuleni ni Km 26
ii) Umbali kutoka Uwanja wa ndege wa KIA hadi Shuleni ni Km 35
- ID: 31225
- Published: September 27, 2021
- Last Update: November 16, 2021
- Views: 4584