Nyumba inauzwa Goba, Dar es salaam
Tsh270,000,000
- Property type: Apartment
- Offer type: For Sale , Hot Offer!
- City: Dar Es Salaam
- District: kinondoni
- Street: Goba
- Bedrooms: 4 bedroom
- Bathrooms: 3
Details
Description
Price : Tsh270,000,000.00 (Negotiable)
Type : Sell
Date : March 3, 2022
Condition : New
Location :upanga,lugalo & magore st
Nyumba inauzwa kwa Bei Nafuu
- Mahali -Goba Njia nne Barabara ya kuelekea Tegeta
- Umbali- Mita 350 kutoka Barabara kuu ya lami.
Sifa za kiwanja:
- Kiwanja kina Hati miliki
- Ukubwa wa kiwanja ni mita za mraba 1400.
Sifa za Nyumba Ndani:
- Ina sebule kubwa ya kisasa,Jiko la ndani la kisasa, Sehemu ya kulia ya kisasa ,
- Vyumba vinne vya kulala vyote vikubwa sana,Vyumba Viwili vina vyoo ndani na Viwili kawaida,
- Stoo ndogo ya ndani na Vyoo Viwili vya Pamoja vya ndani.
- Vyumba vyote na sebule vina AC na Mabafu yote ya kuoga na jikoni kuna Hita za maji ya moto.
Sifa za Nyumba Nje:
- Ina Bustani mbili ya mbele na nyuma ya Nyumba,Ina Nyumba ndogo ya Nje yenye chumba kimoja cha kulala,
- Jiko,Stoo ndogo,choo na bafu la nje, Ina Tanki ya chini ya kuhifadhia maji lita 80 na ina sehemu ya kupumzika kama Min bar Ndogo ya makuti,
- Pia Eneo lote Limewekwa Pavement.
Bei ni Tsh270,000,000/=
ID:Bosco
Kwa Maelezo Zaidi Tupigie +255 624 000 333 au Tembelea Tovuti yetu https://brbuyandsell.co.tz
- ID: 32141
- Published: March 8, 2022
- Last Update: March 21, 2022
- Views: 3309