Tsh350,000,000
Features
- dining jiko kubwa
- ina kisima cha maji
- public toilet
- sebure kubwa
- Store
- viwili master
- vyumba vinne
Details
Nyumba ya ghorofa moja inauzwa juu vyumba vinne, viwili master public toilet, baraza mbili, chini chumba kimoja, master sebure kubwa, dining jiko kubwa, store, public toilet, ina kisima cha maji, eneo la heka moja.
Eneo heka moja, nyumba ipo Temboni Kimara B pembeni mwa barabara mbili
Bei Milioni 350 maonezi yapo
ID: Safari
- ID: 30877
- Published: June 14, 2021
- Last Update: July 23, 2021
- Views: 7021